Watch here

Sunday, June 19, 2016

UEFA charge Hungary, Belgium and Portugal over Euro 2016 crowd disorder


UEFA has charged the Hungarian, Belgian and Portuguese football associations for fan disorder at Euro 2016. UEFA says its disciplinary panel will consider charges against Hungary of "crowd disturbances", throwing objects and setting off fireworks. Fans clashed with stewards and some police before Saturday's Group F game with Iceland in Marseille when trying to climb a fence to enter a section behind one goal.


Riot police then formed in lines in front of a section of Hungary fans, in the same end of the Stade Velodrome where Russians attacked England fans a week earlier. Hungary fans then lit or threw flares or firecrackers during the national anthems, when Iceland were awarded a penalty kick, and after their team scored a late goal in a 1-1 draw. The Belgian FA has been charged after a section of their fans set off fireworks and threw objects during the team's 3-0 Group E victory over the Republic of Ireland in Bordeaux on Saturday.

Messi makes history

Lionel Messi continues to score his way into footballing history by firing home the third in the 4-1 thrashing of Venezuela in the Copa America, a record-equalling 54th international goal for Argentina. The Barcelona forward's fourth goal of the competition puts him level with Gabriel Batistuta, who set the record in 2002.It also helped his team earn a place in the semi-finals and move one step closer to lifting a major trophy for the first time since 1993."We took a very important step, playing well and we were always superior," said the 28-year-old.Although very happy to equal the record, winning through to the next round was the important prize for him."In every match we always want to be the main protagonists whoever our opponents are," he added.The Argentine admitted that it has not been easy for them to be runners-up in two consecutive finals - 2014 World Cup in Brazil and Copa America 2015 in Chile - and La Albiceleste have another tough challenge facing the hosts USA while defending champions Chile take on Colombia.Messi warned Tuesday evening's match will not be easy as the Americans are tough opponents with a physical style of play.

Juventus clear path for Real Madrid to make Pogba move


Paul Pogba has Juventus' word that he can leave them at a time of his choosing so long as the buyer meets the Turin club's valuation of the France midfielder.Pogba signed his current deal, which runs to 2019, with the Italian champions in October 2014 on the understanding that, should the time come, the club would be disposed to allow him to move on.MARCA understands that any deal taking him to the Champions League holders would surely have to represent a new world record figure, just as that of Zinedine Zidane between the same clubs in 2001.Pogba and his agent Mino Raiola trust the agreement with the club, who for their part are content that the player has given all to the Old Lady having turned down the chance of earning more elsewhere to play a key role in helping them to their fifth straight Serie A success.

WENGER: VARDY WONT COME.

In an interview with Chinese television, Arsenal boss Wenger said: "Jamie Vardy is, at the moment, at Leicester and from what I know, he will stay at Leicester." Sky sources understand the Leicester striker has talked with Arsenal after the Gunners triggered a release clause in his contract with a £20m bid. On Saturday, speaking at England's 2016 training base at Chantilly, Vardy insisted he was not thinking about his club future. "I'm just here completely focusing on England and that's all I want to do at the moment," said the 29-year-old. "We're here to represent England and that's all I want to think about."

MHADHIRI: Mamlaka isiwatishe waandishi wa habari

Na Dotto Mwaibale

VYOMBO vyenye mamlaka vimetakiwa visiwatishe waandishi wa habari pale wanapo andika habari sahihi za kuikosoa serikali nchini badala yake viwalinde. Hayo yalielezwa Dar es Salaam jana na Mhadhiri wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere, Apium Chengula wakati wa majumuisho yaliyofikiwa katika kongamano la kitaifa na kimataifa lililokuwa na mada yake kuu uadilifu wa viongozi na utawala bora katika usimamizi wa maliasili kwa ajili ya maendeleo endelevu ya Tanzania. “Tulipitisha maazimio kadhaa kama wenye mamlaka kuvilinda vyombo vya habari vinapo andika habari sahihi za kuiokosoa serikali, kuhimiza viongozi kuzingatia maadili na kupata mafunzo ya uongozi, kuhimiza viongozi kulinda maliasili ambazo ni endelevu na kusisitiza kuwa na itikadi inayoeleweka katika kuongoza nchi” alisema Chengula. Kongamano hilo liliandaliwa na Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere kilichopo Kigamboni kwa ufadhili wa Shirika lisilo la kiserikali la Konrad Adenauer Stiftung (KAS) la nchini Ujerumani. Chengula alisema kongamano hilo lilifanikiwa kutokana na kuwa na mada moto moto zilizohusu rasilimali za taifa na suala zima la utawala bora na kuwa lilisimamiwa na Kibweta cha Mwalimu Nyerere. Alisema Kibweta cha Mwalimu Nyerere ni idara iliyoanzishwa chuoni hapo kwa ajili ya kusimamia masuala yote ya mafunzo ya viongozi na maadili ya viongozi iliyoanzishwa mapema mwaka jana na kuzinduliwa na Rais mstaafu Dk. Jakaya Kikwete. “Katika kongamano hilo kuliwa na mada mbalimbali zilihusu maliasili za Tanzania na jinsi zinavyo wasaidia wananchi ambayo ilitolewa na Profesa Aidan Msafiri kutoka Chuo cha Kanisa Katoliki Mwenge, mada nyingine ikiwa ni utawala bora kuhusu mali asili changamoto na fursa zake iliyoendeshwa na Dk.Camirius Kasala kutoka Chuo cha Takwimu cha Afrika Mashariki na kuwa mada ya tatu ilihusu maendeleo endelevu katika Tanzania mchango wa utawala bora unaozingatia maadili ya uongozi bora” alisema. Alisema Hayati Mwalimu Julius Nyerere kabla ya Uhuru 1961 alikwenda nchini Ujerumani ambapo alionana na Muasisi wa Shirika la KAS, Konrad Adenauer na kuona ni jinsi gani wataweza kusaidia kutoka mafunzo ya uadilifu kwa viongozi na tangu hapo walianzisha ushirikiano huo ambao unaendelezwa na Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere na Shirika hilo ambalo limefanikisha kudhamini kongamano hilo.

CCM Yatangaza Siku ya Kumkabidhi Uenyekiti Rais Magufuli

Na Joachim Mushi, Dar es Salaam CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) leo kimetangaza tarehe ya kumkabidhi rasmi uongozi wa chama, Rais John Pombe Magufuli ikiwa ni utaratibu wa kawaida ndani ya chama hicho. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Msemaji wa Chama Cha Mapinduzi leo jijini Dar es Salaam kwa wanahabari, Christopher Ole Sendeka Mkutano Mkuu Maalum wa CCM utafanyika Julai 23, 2016. Alisema uamuzi wa kufanyika kwa mkutano huo umefikiwa baada ya Kikao cha Kamati Kuu ya CCM chini ya Mwenyekiti wa CCM, Jakaya Kikwete kilichofanyika Ofisi Ndogo ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam. Alisema Mkutano huo Mkuu Maalum utatanguliwa na vikao vya sekretarieti, Kamati Kuu na Halmashauri Kuu ya Taifa. “…Lengo la Mkutano Mkuu huo Maalum ni kukabidhiana kijiti cha uongozi wa juu wa chama chetu kutoka kwa Mwenyekiti wa CCM Dk. Kikwete ambaye pia ni Rais mstaafu wa Awamu ya Nne kwenda kwa Rais wa sasa wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Joseph Magufuli kama ulivyo utamaduni wa CCM,” alisema Ole Sendeka.

Saturday, June 18, 2016

Wanajeshi wa Iraq waukomboa mji wa Fallujah kutoka kwa IS

Waziri mkuu wa Iraqi, Haider al Abadi, ametangaza kuwa mji wa Faluja umekombolewa na wanajeshi wa Serikali. Katika taarifa fupi aliyoitoa kwa runinga ya kitaifa moja kwa moja, bwana Abadi alisema kuwa makundi machache ya wapiganaji wa Kiislamu wenye itakadi kali wa Islamic State wangali Falujjah, lakini akawahakikishia wananchi kuwa watatimuliwa baada ya muda mfupi. Bwana Abadi, aliyekuwa ameandamana na maafisa wa vyeo vya juu jeshini, alisema kuwa mji wa Kaskazini wa Mosul, ambao ni ngome kuu ya Isis, ndio unaolengwa sasa na wanajeshi wake. Mapema, wanajeshi wa Iraq walikomboa mijengo ya Serikali jijini Fallujah na kupandisha bendera katika uwanja wa Serikali.