Akizungumza katika uzinduzi huo mjini Dodoma jana, Majaliwa aliitaja miradi hiyo kuwa ni makaa ya mawe Mchuchuma na chuma Liganga, maeneo maalumu ya uwekezaji na kufufua Shirika la Ndege la Taifa (ATC), kazi ambayo itaanza Julai.
No comments:
Post a Comment